Leviticus 27:28

28 a“ ‘Lakini chochote kile mtu alicho nacho na akakiweka wakfu
Akakiweka wakfu ina maana ya kumpa Mungu kabisa, daima, bila kurudiwa.
kwa Bwana, iwe ni binadamu, au mnyama, au ardhi ya jamaa, hakiwezi kuuzwa au kukombolewa. Chochote kilichowekwa wakfu ni kitakatifu sana kwa Bwana.

Copyright information for SwhNEN